sw_tn/jer/40/03.md

419 B

Bwana alikuja. na akafanya kama alivyosema

"Bwana alifanya kama alivyowaambia kuwa atafanya"

Kwa kuwa mmeasi mbele yake na hamkusikiliza sauti yake

"Kwa kuwa ninyi Yuda mmefanya dhambi juu ya Bwana na hamkusikiliza amri yake"

jambo hili limetokea

"uharibifu umetokea"

Basi tazama

Nebuzaradani alisema haya ili kumfanya Yeremia awe makini kumsikiliza kwa wakati huo.

ni njema machoni pako

"unayotaka"