sw_tn/jer/37/18.md

32 lines
757 B
Markdown

# Namna nilivyofanya dhambi dhidi yako ... gerezani?
Yeremia alitumia swali kusisitiza kuwa hakufanya kosa lolote.
# watu hawa
Watu wa ufalme wa Yuda
# wameweka
"wameweka"
# wako wapi manabii wako, waliokutolea unabii... dhidi ya nchi hii
Yeremia alitumia swali ili kusisitiza kuwa manabii wengine walikuwa waongo lakini yeye hakufanya kosa lolote kwa sababu aliwaambia ukweli.
# Manabii wenu
Maneno haya yanaelekezwa kwa mfalme Sedekia na watu wa ufalme wa Yuda.
# Hatakuja dhidi yako wala nchi hii
"hatakuvamia wewe wala nchi hii"
# ombi langu limekuja mbele yako
Linganisha na namna ulivyotafsiri katika sura ya 36:7 "maombi yao ya rehema yakafika mbele za Bwana"
# Nyumba ya Yonathani mwandishi.
Nyumba ya Yonathani aliyekuwa mwamndishi.