# Namna nilivyofanya dhambi dhidi yako ... gerezani? Yeremia alitumia swali kusisitiza kuwa hakufanya kosa lolote. # watu hawa Watu wa ufalme wa Yuda # wameweka "wameweka" # wako wapi manabii wako, waliokutolea unabii... dhidi ya nchi hii Yeremia alitumia swali ili kusisitiza kuwa manabii wengine walikuwa waongo lakini yeye hakufanya kosa lolote kwa sababu aliwaambia ukweli. # Manabii wenu Maneno haya yanaelekezwa kwa mfalme Sedekia na watu wa ufalme wa Yuda. # Hatakuja dhidi yako wala nchi hii "hatakuvamia wewe wala nchi hii" # ombi langu limekuja mbele yako Linganisha na namna ulivyotafsiri katika sura ya 36:7 "maombi yao ya rehema yakafika mbele za Bwana" # Nyumba ya Yonathani mwandishi. Nyumba ya Yonathani aliyekuwa mwamndishi.