sw_tn/jer/37/18.md

757 B

Namna nilivyofanya dhambi dhidi yako ... gerezani?

Yeremia alitumia swali kusisitiza kuwa hakufanya kosa lolote.

watu hawa

Watu wa ufalme wa Yuda

wameweka

"wameweka"

wako wapi manabii wako, waliokutolea unabii... dhidi ya nchi hii

Yeremia alitumia swali ili kusisitiza kuwa manabii wengine walikuwa waongo lakini yeye hakufanya kosa lolote kwa sababu aliwaambia ukweli.

Manabii wenu

Maneno haya yanaelekezwa kwa mfalme Sedekia na watu wa ufalme wa Yuda.

Hatakuja dhidi yako wala nchi hii

"hatakuvamia wewe wala nchi hii"

ombi langu limekuja mbele yako

Linganisha na namna ulivyotafsiri katika sura ya 36:7 "maombi yao ya rehema yakafika mbele za Bwana"

Nyumba ya Yonathani mwandishi.

Nyumba ya Yonathani aliyekuwa mwamndishi.