sw_tn/jer/36/32.md

12 lines
418 B
Markdown

# Maneno ya Yeremia
"Yeremia alipokuwa akizungumza, Baruku aliandika maneno yote ambayo Bwana aliyazungumza kwa Yeremia"
# Kilichochomwa moto na Yehoyakimu mfalme wa Yuda
"Ambacho Yehoyakimu mfalme wa Yuda alikichoma kwa moto"
# Hatahivyo, maneno mengine yaliyofanana yaliongezwa katika kitabu hiki
"Hatahivyo Yeremia na Baruku waliongeza maneno mengi yaliyofanana na maneno yaliyokuwa kwenye kitabu cha mwanzo."