# Maneno ya Yeremia "Yeremia alipokuwa akizungumza, Baruku aliandika maneno yote ambayo Bwana aliyazungumza kwa Yeremia" # Kilichochomwa moto na Yehoyakimu mfalme wa Yuda "Ambacho Yehoyakimu mfalme wa Yuda alikichoma kwa moto" # Hatahivyo, maneno mengine yaliyofanana yaliongezwa katika kitabu hiki "Hatahivyo Yeremia na Baruku waliongeza maneno mengi yaliyofanana na maneno yaliyokuwa kwenye kitabu cha mwanzo."