sw_tn/jer/36/32.md

418 B

Maneno ya Yeremia

"Yeremia alipokuwa akizungumza, Baruku aliandika maneno yote ambayo Bwana aliyazungumza kwa Yeremia"

Kilichochomwa moto na Yehoyakimu mfalme wa Yuda

"Ambacho Yehoyakimu mfalme wa Yuda alikichoma kwa moto"

Hatahivyo, maneno mengine yaliyofanana yaliongezwa katika kitabu hiki

"Hatahivyo Yeremia na Baruku waliongeza maneno mengi yaliyofanana na maneno yaliyokuwa kwenye kitabu cha mwanzo."