sw_tn/jer/35/12.md

443 B

Neno la Yahwe likaja kwa.

Nii ni namna ya kuweka utangulizi wa kile anachokwenda kusema Yahwe

Hamgtapokea maelekezo na kusikiliza neno langu?

Swali hili limeulizwa kwa ajili ya kuwakemea Israeli.

Yonadabu ... Rekabu.

Haya ni majina ya kiume.

Maneno ya Yonadabu mwana wa Rekabu aliyowapa wanawe kama amfri, wasinywe divai yoyote, yameheshimiwa.

Wana wa Yonadabu, wana wa Rekabu, waliishika amri ya baba yao ya kutokunywa divai."