# Neno la Yahwe likaja kwa. Nii ni namna ya kuweka utangulizi wa kile anachokwenda kusema Yahwe # Hamgtapokea maelekezo na kusikiliza neno langu? Swali hili limeulizwa kwa ajili ya kuwakemea Israeli. # Yonadabu ... Rekabu. Haya ni majina ya kiume. # Maneno ya Yonadabu mwana wa Rekabu aliyowapa wanawe kama amfri, wasinywe divai yoyote, yameheshimiwa. Wana wa Yonadabu, wana wa Rekabu, waliishika amri ya baba yao ya kutokunywa divai."