sw_tn/jer/35/12.md

16 lines
443 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Neno la Yahwe likaja kwa.
Nii ni namna ya kuweka utangulizi wa kile anachokwenda kusema Yahwe
# Hamgtapokea maelekezo na kusikiliza neno langu?
Swali hili limeulizwa kwa ajili ya kuwakemea Israeli.
# Yonadabu ... Rekabu.
Haya ni majina ya kiume.
# Maneno ya Yonadabu mwana wa Rekabu aliyowapa wanawe kama amfri, wasinywe divai yoyote, yameheshimiwa.
Wana wa Yonadabu, wana wa Rekabu, waliishika amri ya baba yao ya kutokunywa divai."