sw_tn/jer/32/43.md

474 B

Mashamba yatanunuliwa katika nchi hii.

"Basi watu watanunua mashamba akataika nchi hii."

Mnasema.

Hawa wanaozungumziwa hapa ni watu wa Israeli.

Imetiwa mikononi mwa Wakaldayo.

Hapa "mkono" ni nguvu au umiliki.

Na kuandika katika barua zilizopigwa muhuri.Wtakusanya mshahidi.

Hii ni nyaraka ambayo mtu husaini kwa ajili ya kununua shamba. Watu wengine huwa mashahidi wa ununuzi huo.

Kwa maana nitawarejesha wafungwa wao.

"Kwa maana nitawafanikisha tena."