# Mashamba yatanunuliwa katika nchi hii. "Basi watu watanunua mashamba akataika nchi hii." # Mnasema. Hawa wanaozungumziwa hapa ni watu wa Israeli. # Imetiwa mikononi mwa Wakaldayo. Hapa "mkono" ni nguvu au umiliki. # Na kuandika katika barua zilizopigwa muhuri.Wtakusanya mshahidi. Hii ni nyaraka ambayo mtu husaini kwa ajili ya kununua shamba. Watu wengine huwa mashahidi wa ununuzi huo. # Kwa maana nitawarejesha wafungwa wao. "Kwa maana nitawafanikisha tena."