sw_tn/jer/32/43.md

20 lines
474 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Mashamba yatanunuliwa katika nchi hii.
"Basi watu watanunua mashamba akataika nchi hii."
# Mnasema.
Hawa wanaozungumziwa hapa ni watu wa Israeli.
# Imetiwa mikononi mwa Wakaldayo.
Hapa "mkono" ni nguvu au umiliki.
# Na kuandika katika barua zilizopigwa muhuri.Wtakusanya mshahidi.
Hii ni nyaraka ambayo mtu husaini kwa ajili ya kununua shamba. Watu wengine huwa mashahidi wa ununuzi huo.
# Kwa maana nitawarejesha wafungwa wao.
"Kwa maana nitawafanikisha tena."