sw_tn/jer/32/29.md

320 B

Maelezo ya jumla:

yahwe anaendelea kusema kwa Yeremia.

Ili kunikasirisha.

"Kilichonifanya nikasirike sana."

Wanaofanya maovu mbele ya macho yangu.

"Wanaofanya kile ambacho nakihesabu kuwa uovu."

Tangu ujana wao.

"Tangu kipindi walipokuwa taifa."

Matendo ya mikono yao.

"Mambo maovu ambayo wamefanya."