sw_tn/jer/32/29.md

20 lines
320 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya jumla:
yahwe anaendelea kusema kwa Yeremia.
# Ili kunikasirisha.
"Kilichonifanya nikasirike sana."
# Wanaofanya maovu mbele ya macho yangu.
"Wanaofanya kile ambacho nakihesabu kuwa uovu."
# Tangu ujana wao.
"Tangu kipindi walipokuwa taifa."
# Matendo ya mikono yao.
"Mambo maovu ambayo wamefanya."