# Maelezo ya jumla: yahwe anaendelea kusema kwa Yeremia. # Ili kunikasirisha. "Kilichonifanya nikasirike sana." # Wanaofanya maovu mbele ya macho yangu. "Wanaofanya kile ambacho nakihesabu kuwa uovu." # Tangu ujana wao. "Tangu kipindi walipokuwa taifa." # Matendo ya mikono yao. "Mambo maovu ambayo wamefanya."