sw_tn/jer/32/19.md

728 B

Maelezo ya jumla:

Yeremia anaendelea kuzungumza:

Kwa maana amacho yako yanaona njia zote za watu.

"Unaona kila kitu ambacho wanadamu wanafanya."

Ili kumlipa kila mtu stahiki ya matendo yake.

"Na utamlipa kila mtu kulingana matendo na tabia yake"

Ulifanya ishara na maajabu katika nchi ya Misiri.

Haya ni matukio yaliyopita mbapo Mungu alitumia nguvu zake ili kuwatoa utumwani watu wake wa Israeli huko Misiri.

Hata leo.

"Hadi siku ya leo."

Umelifanya jina lako kuwa maarufu.

Hapa "jina" linawakilisha tabia ya Mungu. ("Umejifanya mwenyewe kujulikana.")

Kwa mkono ulioinuka, kwa mkono wenye nguvu.

Virai hivi vyote vinaelezeaa nguvu. Kwa pamoja vinaulezea ukuu wa nguvu za Yahwe. "Kwa nguvu zako kuu."