sw_tn/jer/32/19.md

28 lines
728 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya jumla:
Yeremia anaendelea kuzungumza:
# Kwa maana amacho yako yanaona njia zote za watu.
"Unaona kila kitu ambacho wanadamu wanafanya."
# Ili kumlipa kila mtu stahiki ya matendo yake.
"Na utamlipa kila mtu kulingana matendo na tabia yake"
# Ulifanya ishara na maajabu katika nchi ya Misiri.
Haya ni matukio yaliyopita mbapo Mungu alitumia nguvu zake ili kuwatoa utumwani watu wake wa Israeli huko Misiri.
# Hata leo.
"Hadi siku ya leo."
# Umelifanya jina lako kuwa maarufu.
Hapa "jina" linawakilisha tabia ya Mungu. ("Umejifanya mwenyewe kujulikana.")
# Kwa mkono ulioinuka, kwa mkono wenye nguvu.
Virai hivi vyote vinaelezeaa nguvu. Kwa pamoja vinaulezea ukuu wa nguvu za Yahwe. "Kwa nguvu zako kuu."