# Maelezo ya jumla: Yeremia anaendelea kuzungumza: # Kwa maana amacho yako yanaona njia zote za watu. "Unaona kila kitu ambacho wanadamu wanafanya." # Ili kumlipa kila mtu stahiki ya matendo yake. "Na utamlipa kila mtu kulingana matendo na tabia yake" # Ulifanya ishara na maajabu katika nchi ya Misiri. Haya ni matukio yaliyopita mbapo Mungu alitumia nguvu zake ili kuwatoa utumwani watu wake wa Israeli huko Misiri. # Hata leo. "Hadi siku ya leo." # Umelifanya jina lako kuwa maarufu. Hapa "jina" linawakilisha tabia ya Mungu. ("Umejifanya mwenyewe kujulikana.") # Kwa mkono ulioinuka, kwa mkono wenye nguvu. Virai hivi vyote vinaelezeaa nguvu. Kwa pamoja vinaulezea ukuu wa nguvu za Yahwe. "Kwa nguvu zako kuu."