sw_tn/jer/29/22.md

320 B

Laana itatamkwa na wafungwa wote wa Yuda.

Hii inaweza kuandikwa kataika mfumo wa moja kwa moja:"Mateka wa Yuda watasema laana juu watu hawa."

Aliwaoka kwenye moto

"Aliwachoma hadi kufa."

Mimi ndiye nijuaye; mimi ni shahidi

Virai hivi wiwili vina maana moja, na Yahwe anavirudia kwa ajili ya kuweka msisitizo.