sw_tn/jer/29/22.md

12 lines
320 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Laana itatamkwa na wafungwa wote wa Yuda.
Hii inaweza kuandikwa kataika mfumo wa moja kwa moja:"Mateka wa Yuda watasema laana juu watu hawa."
# Aliwaoka kwenye moto
"Aliwachoma hadi kufa."
# Mimi ndiye nijuaye; mimi ni shahidi
Virai hivi wiwili vina maana moja, na Yahwe anavirudia kwa ajili ya kuweka msisitizo.