# Laana itatamkwa na wafungwa wote wa Yuda. Hii inaweza kuandikwa kataika mfumo wa moja kwa moja:"Mateka wa Yuda watasema laana juu watu hawa." # Aliwaoka kwenye moto "Aliwachoma hadi kufa." # Mimi ndiye nijuaye; mimi ni shahidi Virai hivi wiwili vina maana moja, na Yahwe anavirudia kwa ajili ya kuweka msisitizo.