sw_tn/jer/29/01.md

20 lines
459 B
Markdown

# Alituma kutoka Yerusalemu.
"Alitangaza kutoka Yerusalemu."
# Yehoyakimu.
Maandishi ya Kiebrania "Yekonia," amabayo ni utofauti wa jina "Yehoyakimu." Matoleo mengi ya kisasa yanasema "Yehoyakimu ili kutoa ufafanuzi kwamba anayetajwa ni mfalme yule yule.
# Mama yake mfalme.
Hiki ni cheo anachopewa mama wa mfale.
# Watumishi wakuu.
Hawa ni viongozi au wakuu muhimu sana.
# Elasa mwana wa Shafani na Gemaria mwana wa Hilkia.
Haya ni majina ya kiume.