sw_tn/jer/29/01.md

459 B

Alituma kutoka Yerusalemu.

"Alitangaza kutoka Yerusalemu."

Yehoyakimu.

Maandishi ya Kiebrania "Yekonia," amabayo ni utofauti wa jina "Yehoyakimu." Matoleo mengi ya kisasa yanasema "Yehoyakimu ili kutoa ufafanuzi kwamba anayetajwa ni mfalme yule yule.

Mama yake mfalme.

Hiki ni cheo anachopewa mama wa mfale.

Watumishi wakuu.

Hawa ni viongozi au wakuu muhimu sana.

Elasa mwana wa Shafani na Gemaria mwana wa Hilkia.

Haya ni majina ya kiume.