# Alituma kutoka Yerusalemu. "Alitangaza kutoka Yerusalemu." # Yehoyakimu. Maandishi ya Kiebrania "Yekonia," amabayo ni utofauti wa jina "Yehoyakimu." Matoleo mengi ya kisasa yanasema "Yehoyakimu ili kutoa ufafanuzi kwamba anayetajwa ni mfalme yule yule. # Mama yake mfalme. Hiki ni cheo anachopewa mama wa mfale. # Watumishi wakuu. Hawa ni viongozi au wakuu muhimu sana. # Elasa mwana wa Shafani na Gemaria mwana wa Hilkia. Haya ni majina ya kiume.