sw_tn/jer/23/11.md

24 lines
455 B
Markdown

# Taarifa ya jumla
Mjumbe hubadilika kutoka Yeremia kwenda kwa Bwana.
# makuhani wote wamekufuru
"makuhani ni wenye dhambi"
# katika nyumba yangu
Hapa hekalu la Bwana linalinganishwa na nyumba, mahali ambako Bwana anasemekana kuishi kati ya watu wake.
# tamko la Bwana
"nini Bwana ametangaza" au "kile Bwana amesema"
# kama mahali pa kupumzika katika giza
"si imara, au hatari"
# katika mwaka wa adhabu yao
"ikiwa wakati wao wa adhabu unakuja"