sw_tn/jer/23/11.md

455 B

Taarifa ya jumla

Mjumbe hubadilika kutoka Yeremia kwenda kwa Bwana.

makuhani wote wamekufuru

"makuhani ni wenye dhambi"

katika nyumba yangu

Hapa hekalu la Bwana linalinganishwa na nyumba, mahali ambako Bwana anasemekana kuishi kati ya watu wake.

tamko la Bwana

"nini Bwana ametangaza" au "kile Bwana amesema"

kama mahali pa kupumzika katika giza

"si imara, au hatari"

katika mwaka wa adhabu yao

"ikiwa wakati wao wa adhabu unakuja"