# Taarifa ya jumla Mjumbe hubadilika kutoka Yeremia kwenda kwa Bwana. # makuhani wote wamekufuru "makuhani ni wenye dhambi" # katika nyumba yangu Hapa hekalu la Bwana linalinganishwa na nyumba, mahali ambako Bwana anasemekana kuishi kati ya watu wake. # tamko la Bwana "nini Bwana ametangaza" au "kile Bwana amesema" # kama mahali pa kupumzika katika giza "si imara, au hatari" # katika mwaka wa adhabu yao "ikiwa wakati wao wa adhabu unakuja"