sw_tn/jer/19/04.md

334 B

wameniacha

Hapa neno "wao" linamaanisha watu wa Yuda.

wamejaza mahali damu isiyo na hatia

""aliuawa watu wengi wasio na hatia mahali hapa"

kitu ambacho sijawaamuru

"kitu ambacho ninawazuia kufanya"

wala hakuingia ndani ya akili yangu

Hapa neno "akili" linamaanisha mawazo ya Bwana. AT "wala sijawahi kufikiri juu yake"