# wameniacha Hapa neno "wao" linamaanisha watu wa Yuda. # wamejaza mahali damu isiyo na hatia ""aliuawa watu wengi wasio na hatia mahali hapa" # kitu ambacho sijawaamuru "kitu ambacho ninawazuia kufanya" # wala hakuingia ndani ya akili yangu Hapa neno "akili" linamaanisha mawazo ya Bwana. AT "wala sijawahi kufikiri juu yake"