sw_tn/jer/19/04.md

16 lines
334 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# wameniacha
Hapa neno "wao" linamaanisha watu wa Yuda.
# wamejaza mahali damu isiyo na hatia
""aliuawa watu wengi wasio na hatia mahali hapa"
# kitu ambacho sijawaamuru
"kitu ambacho ninawazuia kufanya"
# wala hakuingia ndani ya akili yangu
Hapa neno "akili" linamaanisha mawazo ya Bwana. AT "wala sijawahi kufikiri juu yake"