sw_tn/jer/17/05.md

20 lines
518 B
Markdown

# Mtu anayemtegemea mwanadamu amelaaniwa
Mimi nitamlaani mtu yeyote anayeamini kwa wanadamu
# amfanyaye mwanadamu kuwa nguvu
Hapa neno "mwili" linamaanisha watu. AT "anamtegemea wanadamu tu kwa nguvu"
# kugeuza moyo wake mbali na Bwana
Hapa neno "moyo" linamaanisha mawazo na hisia. AT "anageuza kujitoa kwake mbali na Bwana"
# kama kichaka kidogo
Mtu anayemtegemea mwanadamu badala ya Bwana atakuwa kama mmea unaojitahidi kuishi katika ardhi isiyo na rutuba.
# nchi isiyozaa
atakuwa bure kama msitu jangwani