# Mtu anayemtegemea mwanadamu amelaaniwa Mimi nitamlaani mtu yeyote anayeamini kwa wanadamu # amfanyaye mwanadamu kuwa nguvu Hapa neno "mwili" linamaanisha watu. AT "anamtegemea wanadamu tu kwa nguvu" # kugeuza moyo wake mbali na Bwana Hapa neno "moyo" linamaanisha mawazo na hisia. AT "anageuza kujitoa kwake mbali na Bwana" # kama kichaka kidogo Mtu anayemtegemea mwanadamu badala ya Bwana atakuwa kama mmea unaojitahidi kuishi katika ardhi isiyo na rutuba. # nchi isiyozaa atakuwa bure kama msitu jangwani