sw_tn/jer/17/05.md

518 B

Mtu anayemtegemea mwanadamu amelaaniwa

Mimi nitamlaani mtu yeyote anayeamini kwa wanadamu

amfanyaye mwanadamu kuwa nguvu

Hapa neno "mwili" linamaanisha watu. AT "anamtegemea wanadamu tu kwa nguvu"

kugeuza moyo wake mbali na Bwana

Hapa neno "moyo" linamaanisha mawazo na hisia. AT "anageuza kujitoa kwake mbali na Bwana"

kama kichaka kidogo

Mtu anayemtegemea mwanadamu badala ya Bwana atakuwa kama mmea unaojitahidi kuishi katika ardhi isiyo na rutuba.

nchi isiyozaa

atakuwa bure kama msitu jangwani