sw_tn/jer/09/13.md

24 lines
451 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
BWANA anaendelea kuonge juu ya watu wa Yuda
# Ni kwa sababu wameziacha
"Nchi imeharibiwa kwa sabasbu watu wa Yuda hawakutii"
# hawaisikilizi sauti yangu
""hawatilii maanani kwa vitu ambavyo ninawaambia."
# kwa kuifuata
"au kuishi kwa namna ambayo nawataka waishi"
# wameishi kwa ushupavu wa mioyo yao
"wamekuwa wasumbufu na wameishi kwa jinsi wanavyotaka kuishi"
# na wamewafuata Mabaali
"na wameabudu miungu ya uongo"