sw_tn/jer/09/13.md

451 B

Taarifa kwa ujumla

BWANA anaendelea kuonge juu ya watu wa Yuda

Ni kwa sababu wameziacha

"Nchi imeharibiwa kwa sabasbu watu wa Yuda hawakutii"

hawaisikilizi sauti yangu

""hawatilii maanani kwa vitu ambavyo ninawaambia."

kwa kuifuata

"au kuishi kwa namna ambayo nawataka waishi"

wameishi kwa ushupavu wa mioyo yao

"wamekuwa wasumbufu na wameishi kwa jinsi wanavyotaka kuishi"

na wamewafuata Mabaali

"na wameabudu miungu ya uongo"