# Taarifa kwa ujumla BWANA anaendelea kuonge juu ya watu wa Yuda # Ni kwa sababu wameziacha "Nchi imeharibiwa kwa sabasbu watu wa Yuda hawakutii" # hawaisikilizi sauti yangu ""hawatilii maanani kwa vitu ambavyo ninawaambia." # kwa kuifuata "au kuishi kwa namna ambayo nawataka waishi" # wameishi kwa ushupavu wa mioyo yao "wamekuwa wasumbufu na wameishi kwa jinsi wanavyotaka kuishi" # na wamewafuata Mabaali "na wameabudu miungu ya uongo"