sw_tn/jer/09/04.md

909 B

Taarifa kwa ujumla

BWANA anaendelea kuongea na Yeremia juu ya watu wa Yuda.

Kila mmoja wenu

neno "wenu" linawawakilisha watu wa Yuda

awe mlinzi wa jirani yake na usimwamini hata ndugu yako yeyote

"uwemwangalifu kwa kutowaamini ndugu zako Waisraeli, na usimwamini hata ndugu yako"

kila jirani anatembea akilaghai

Tabia ya kuongea uongo juu ya kila mmoja ni ulagahai.

Kila mwanamuume anamkejeli jirani yake na haongei ukweli

"Watu wote wanakejeliana na hawasemei ukweli"

Ndimi zao hufundisha vitu vya uongo

"wanafundisha vitu ambavyo si vya ukweli."

Hujidhofisha ili kusema uongo

"wamechoka kwa sababu ya kutenda maovu mengi"

makazi yenu yako kati ya udanganyifu

kuishi na miongoni mwa waongo ni sawa na kuishi katikati ya uongo.

kwa uongo wao wanakataa kunitambua mimi

"Kwa kusema uongo huu wote, watu wa Yuda wameshindwa kunitii mimi kama Mungu."

asema BWANA

Tazama 1:7