sw_tn/jer/09/04.md

40 lines
909 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa kwa ujumla
BWANA anaendelea kuongea na Yeremia juu ya watu wa Yuda.
# Kila mmoja wenu
neno "wenu" linawawakilisha watu wa Yuda
# awe mlinzi wa jirani yake na usimwamini hata ndugu yako yeyote
"uwemwangalifu kwa kutowaamini ndugu zako Waisraeli, na usimwamini hata ndugu yako"
# kila jirani anatembea akilaghai
Tabia ya kuongea uongo juu ya kila mmoja ni ulagahai.
# Kila mwanamuume anamkejeli jirani yake na haongei ukweli
"Watu wote wanakejeliana na hawasemei ukweli"
# Ndimi zao hufundisha vitu vya uongo
"wanafundisha vitu ambavyo si vya ukweli."
# Hujidhofisha ili kusema uongo
"wamechoka kwa sababu ya kutenda maovu mengi"
# makazi yenu yako kati ya udanganyifu
kuishi na miongoni mwa waongo ni sawa na kuishi katikati ya uongo.
# kwa uongo wao wanakataa kunitambua mimi
"Kwa kusema uongo huu wote, watu wa Yuda wameshindwa kunitii mimi kama Mungu."
# asema BWANA
Tazama 1:7