sw_tn/jer/08/16.md

48 lines
824 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
BWANA anendeleza ujumbe wake juu ya adhabu inayokuja kwa watu wa Yuda
# Mkoromo wa farasi wake umesikika kutoka Dani
"Watu wa Dani wanaiasikia sauti ya jeshi la adui likija kuivamia Yuda,"
# farasi
farasi dume
# Dunia nzima inatikisika
"watu wa nchi wanatikisika kwa hofu"
# kwa sababu ya sauti ya kukaribia kwa farasi wake wenye nguvu
"watakaposikia sauti ya farasi mwenye nguvu wa adaui"
# sauti ya farasi
sauti ambayo farasi huitoa
# kwa kuwa watakuja
Kiwakilishi "wa" kinmaanisha jeshi linalovamia
# kuiangamiza nchi
"na kuiharibu nchi."
# Ninawatuma nyoka kati yenu
"Ninawatuma askari wa adui ili kuwapigeni ninyi."
# fira ambao hawawezi kuzuiliwa kwa uganga
Fira ambao huwezi kuwafukuza kwa uchawi
# watawauma
"watawashambulia" au "watawaangamiza"
# asema BWANA
Tazama1:7