# Taarifa kwa ujumla BWANA anendeleza ujumbe wake juu ya adhabu inayokuja kwa watu wa Yuda # Mkoromo wa farasi wake umesikika kutoka Dani "Watu wa Dani wanaiasikia sauti ya jeshi la adui likija kuivamia Yuda," # farasi farasi dume # Dunia nzima inatikisika "watu wa nchi wanatikisika kwa hofu" # kwa sababu ya sauti ya kukaribia kwa farasi wake wenye nguvu "watakaposikia sauti ya farasi mwenye nguvu wa adaui" # sauti ya farasi sauti ambayo farasi huitoa # kwa kuwa watakuja Kiwakilishi "wa" kinmaanisha jeshi linalovamia # kuiangamiza nchi "na kuiharibu nchi." # Ninawatuma nyoka kati yenu "Ninawatuma askari wa adui ili kuwapigeni ninyi." # fira ambao hawawezi kuzuiliwa kwa uganga Fira ambao huwezi kuwafukuza kwa uchawi # watawauma "watawashambulia" au "watawaangamiza" # asema BWANA Tazama1:7