sw_tn/jer/08/08.md

36 lines
803 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
Haya ni maneno ya BWANA kwa watu wa Yuda.
# Kwa nini mnasema, "sisi tuna hekima! na sheria ya BWANA tunayo?"
"Msisema kuwa mna hekima, na sheria ya BWANA mnayo."
# Kwa nini mnasema
kiwakilishi cha "mna" kinawakilisha watu wa Yuda.
# Kalamu yenye uongo ya mwandishi imefanya uongo
"Mambo ya uongo ambaYo walimu wa sheria wamekuwa wakiandika yamewapeni mawazo ya uongo juu ya sheria za BWANA "
# Wenye hekima wataabishwa
"Hawa watu wanofikiri kuwa wanahekima watajisikia kuaibika"
# Wameyeyuka na kunaswa
"Aduii watawateka na kuwachukua"
# hekima yao ni kwa ajili ya matumizi gani?
"kwa hiyo hicho kinachoitwa hekima hakina kazi yeyote njema kwao"
# kwa wale watakaowamiliki
"watu watakaoitawala nchi yao"
# kwakuwa kuanzia kijana ... wote wanasema uongo
Tazama 6:13