sw_tn/jer/08/08.md

803 B

Taarifa kwa ujumla

Haya ni maneno ya BWANA kwa watu wa Yuda.

Kwa nini mnasema, "sisi tuna hekima! na sheria ya BWANA tunayo?"

"Msisema kuwa mna hekima, na sheria ya BWANA mnayo."

Kwa nini mnasema

kiwakilishi cha "mna" kinawakilisha watu wa Yuda.

Kalamu yenye uongo ya mwandishi imefanya uongo

"Mambo ya uongo ambaYo walimu wa sheria wamekuwa wakiandika yamewapeni mawazo ya uongo juu ya sheria za BWANA "

Wenye hekima wataabishwa

"Hawa watu wanofikiri kuwa wanahekima watajisikia kuaibika"

Wameyeyuka na kunaswa

"Aduii watawateka na kuwachukua"

hekima yao ni kwa ajili ya matumizi gani?

"kwa hiyo hicho kinachoitwa hekima hakina kazi yeyote njema kwao"

kwa wale watakaowamiliki

"watu watakaoitawala nchi yao"

kwakuwa kuanzia kijana ... wote wanasema uongo

Tazama 6:13