# Taarifa kwa ujumla Haya ni maneno ya BWANA kwa watu wa Yuda. # Kwa nini mnasema, "sisi tuna hekima! na sheria ya BWANA tunayo?" "Msisema kuwa mna hekima, na sheria ya BWANA mnayo." # Kwa nini mnasema kiwakilishi cha "mna" kinawakilisha watu wa Yuda. # Kalamu yenye uongo ya mwandishi imefanya uongo "Mambo ya uongo ambaYo walimu wa sheria wamekuwa wakiandika yamewapeni mawazo ya uongo juu ya sheria za BWANA " # Wenye hekima wataabishwa "Hawa watu wanofikiri kuwa wanahekima watajisikia kuaibika" # Wameyeyuka na kunaswa "Aduii watawateka na kuwachukua" # hekima yao ni kwa ajili ya matumizi gani? "kwa hiyo hicho kinachoitwa hekima hakina kazi yeyote njema kwao" # kwa wale watakaowamiliki "watu watakaoitawala nchi yao" # kwakuwa kuanzia kijana ... wote wanasema uongo Tazama 6:13