sw_tn/jer/07/03.md

484 B

Taarifa kwa ujumla

Huu ndio ujumbe ambao BWANA antaka kumpa Yerermia kwa ajili ya watu wa Yuda.

Tengenezeni njia zenu na kufanya mema

"Ongozeni kwa maisha mema na matendo mema"

muishi hapa

katika nchi ya Israeli. ambayo ina hekalu ambalo ni kitovu chake

msitumainie maneno ya uongo mkisema

"Msitumainie maneno yanuongo kwa kusema"

Hekalu la BWANA! Hekalu la BWANA! hekalu la BWANA!

"Hili ni hekalu la BWANA kwa hiyo kuna uhakika wa kwamba hakuna atakayeliharibu."