sw_tn/jer/07/03.md

20 lines
484 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa kwa ujumla
Huu ndio ujumbe ambao BWANA antaka kumpa Yerermia kwa ajili ya watu wa Yuda.
# Tengenezeni njia zenu na kufanya mema
"Ongozeni kwa maisha mema na matendo mema"
# muishi hapa
katika nchi ya Israeli. ambayo ina hekalu ambalo ni kitovu chake
# msitumainie maneno ya uongo mkisema
"Msitumainie maneno yanuongo kwa kusema"
# Hekalu la BWANA! Hekalu la BWANA! hekalu la BWANA!
"Hili ni hekalu la BWANA kwa hiyo kuna uhakika wa kwamba hakuna atakayeliharibu."