# Taarifa kwa ujumla Huu ndio ujumbe ambao BWANA antaka kumpa Yerermia kwa ajili ya watu wa Yuda. # Tengenezeni njia zenu na kufanya mema "Ongozeni kwa maisha mema na matendo mema" # muishi hapa katika nchi ya Israeli. ambayo ina hekalu ambalo ni kitovu chake # msitumainie maneno ya uongo mkisema "Msitumainie maneno yanuongo kwa kusema" # Hekalu la BWANA! Hekalu la BWANA! hekalu la BWANA! "Hili ni hekalu la BWANA kwa hiyo kuna uhakika wa kwamba hakuna atakayeliharibu."