sw_tn/jer/02/35.md

44 lines
751 B
Markdown

# Mimi
"sisi"
# Kwa hakika hasira ya BWANA itageuka kutoka kwangu
"Kwa hakika BWANA hatakuwa mwenye hasira tena
# utahukumiwa
"utakukumiwa vikali"
# Tangu
"kwa sababu"
# sikutenda
"hatukutenda"
# kwa nini mnatangatanga kwa urahisi katika njia zenu
BWANA anawatania Waisraeli kwa sababu ya kubadilisha kutoka ufame mwingine hadi mwingine kutafuta msaada lakini hawakumtegemea Mungu kwa ajili ya kupata msaada
# kwa urahisi
bila kujali
# mmehuzunika
kujisikia kuwa na huzuni au kutokuwa na furaha kwa sababu mfalme wa Misri alikataa kuwasaidia.
# Mtaondoka hapo mkiwa
"Mtaondoka hapo kutoka Misri"
# mmehuzunika
kwa huzuni kwa sababu hamkupata msaada wa Wamisiri.
# mikono vichwani mwenu
Hii inaonesha watu wakiwa katika maombolezo