# Mimi "sisi" # Kwa hakika hasira ya BWANA itageuka kutoka kwangu "Kwa hakika BWANA hatakuwa mwenye hasira tena # utahukumiwa "utakukumiwa vikali" # Tangu "kwa sababu" # sikutenda "hatukutenda" # kwa nini mnatangatanga kwa urahisi katika njia zenu BWANA anawatania Waisraeli kwa sababu ya kubadilisha kutoka ufame mwingine hadi mwingine kutafuta msaada lakini hawakumtegemea Mungu kwa ajili ya kupata msaada # kwa urahisi bila kujali # mmehuzunika kujisikia kuwa na huzuni au kutokuwa na furaha kwa sababu mfalme wa Misri alikataa kuwasaidia. # Mtaondoka hapo mkiwa "Mtaondoka hapo kutoka Misri" # mmehuzunika kwa huzuni kwa sababu hamkupata msaada wa Wamisiri. # mikono vichwani mwenu Hii inaonesha watu wakiwa katika maombolezo