sw_tn/jer/02/20.md

937 B

Kwa kuwa nilivunja nira yenu mliyokuwa nayo wakati wa kale; Nilivichana vifungo vyako kutoka kwako Lakini bado ulisema, 'Sitamtumikia!'

"Hapo zamani niliwakomboa kutoka utumwani, lakini mlikataa kuniheshimu mimi!"

tangu ulipopiga magoti katika kila kilima na kuusogelea kila mti wenye majani mabichi, enyi makahaba.

Mlizipigia magoti sanamu na kuziabudu kama mwanamke mzinzi anavyomfanyia mume wake"

Vifungo

ni minyoror inayotumika kumfunga mtu au mnyama

kusogelea

kuwa chini

Lakini mimi mwenyewe niliwapanda kama mzabibu, mbegu iliyokamilika.

Mimi, BWANA, ndiye nilikuanzisha kwa mwanzo mwema."

niliwapanda

kuweka kwenye ardhi ili kukua

na kuwa mzabibu usiofaa na mzabibu pori

"umekuwa kama maozea, divai isiyofaa"

usiofaa

msaliti, mwasi

dhambi yako ni madoa

"bado una hatia ya kutenda dhambi

madoa

madoa yanawakilisha ukumbusho wa mara kwa mara wa dhambi ya Waisraeli

Asema BWANA

Tazama 1:17